Kwa hili hapana aisee

hahaha...ni hatari.... Wadada watakuambia kuliko kuacha hiyo style ni bora waipate hiyo cancer....
 
Washenzi tu hawa wanataka tukazane style gani sasa

Style zetu pendwa zote wanazitoa kasoro.
 
Huyu waziri itakuwa hakijui hiki kikao kitukufu"....

Vinginevyo angeuweka kapuni huo utafiti wao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…