Kwa hili haki hiko wapi...!?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,603
Reaction score
3,666
Ilikuwa ni maeneo fulani....katika jiji la Dar-es-salaam..

Askari wa jeshi la usalama wa Raia, akiendesha PIKIPIKI ikiwa na Namba ya zamani, pamoja na abiria wake (Mwanafunzi) pasipo KOFIA ngumu kichwani (Helmet)



Tunaifundisha nini jamii yetu, pale tunapo kuwa na kauli mbiu ya UTII WA SHERIA BILA SHURUTI...!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Above the law, naikumbuka sana hii movie
 
Kwahyo umeileta hapa ili iweje? Vjana Wa kiume Wa DSM mnaiga tabia za Dada zenu na za mama zenu za umbe umbea na majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…