Kwa hili Arfi na Shibuda mmechemsha

hawa wote wapo kwenye orodha ya malipo ya Zito,
 
Watu wanaenda mjengoni kupiga mpunga...teh teh!!!
 

- Haya ni maswali ya binafsi zaidi hapa sio mahali pake ungewaandikia wenyewe kuliko kuanzisha mjadala kwa kutegemea majibu ambayo hayapo maana hawapo hapa haya maswali wanatakiwa kutumiwa wenyewe huko waliko hapa siamini kama ni mahali pake!1

- I mean kwani wanapokwenda kwa wananchi wao jimboni wabunge wote wewe huwa unataarifiwa au kuna kitu sijakuelewa mkuu

Le Mutuz
 
Wewe katiba mpya ni mali ya watanzania sio ya rais ndo maana shibuda,leticia na arf kwa akili timam wameamua kuldi bunge
 
Hao mabwana wamezisoma alama za nyakati wakaamua kuruka kabla hawajasukumwa, wakaona bora wakavune posho za mwisho maana come 2015 hawawezi kurudi mjengoni asilani labda kupitia kwenye chama cha kina Iskarioti ACT
 
mwambie nape akuandikie labda ndio utaweza kusoma
Nyie vipunga inaelekea somo la insha kwa praimari au hata presentation latika masomo ya juu zaidi hamyajui vema.
Lakini nyie ndio kizazi cha shule za kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…