Kwa hiki nilichomfanyia Salha ana haki ya kunitendea haya

Very very ironic.

Muumba yupo one sided?

Only to be feared by females?

So you are actually saying the women you slept with are lesser human beings who should be cast aside since they do not meet the requirements for marriage?

They are the devil's agents and therefore you had a right to sleep with them because they are sinners and you, dear one, are among the chosen ones?

Damn.

Judgement Day is going to be very interesting.
 
Nakuandikia gazeti

Sikiliza Bidada, Hata Mwanamke Aolewe ataendelea kutongozwa .


NARUDIA, USIPOKUA NA HOFU NA MUNGU , Utaliwa kimasihara na kila aina ya Mwanaume.


Kwa kusema ivo , ikiwa anayetongozwa ni mmoja, watongozaji ni wengi, ninan hapa anayepaswa kua karibu na Mungu wake sana kwa kuzingatia ushawishi ?.

Sisemi kwamba, anaepaswa Kua mcha Mungu ni Mwanamke tu

Mume wako anaweza kua mcha Mungu kwelikweli na Asitongoze mwanamke yoyote , nawewe ukawa mcha Mungu, lkn bado ukaendelea kutongozwa nakusumbuliwa kila kukicha.... Unadhan kati ya hawa ninani anayehitajika kua na ukaribu mkubwa wakiroho na Mungu wake???.


Yaan toka Uumbaji, Wanaume wameonekana ni viumbe wa kua na wanawake wengi... Sasa niwewe mwanamke unayetakiwa Kuutumikisha ubongo wako kisawasawa., kinyume na hapo, Utahesabika kama mwanamke Mpumbavu aliyeamua kumuongezea mwanaume idadi ya wanawake alowala.


Nikuulize tu, Kati ya mwanaume malaya..na mwanamke malaya...hawa wote wakaamua kuacha tabia zao.. Ni nani kati yao, ataaminika sanaaa kiasi cha kupata Mume au mke kirahisi????.


NARUDIA KUWASHAURI VIJANA, AMBAO HAMJAOA, TAFUTENI WANAWAKE WACHA WA MUNGU.

NILISEMA, HAIJALISHI WEWE MWANAUME NI MLEVI, MALAYA, N.K, ILA KAMA UNATAKA KUOA, NENDA HUKO NJE, CHAGUA MWANAMKE MCHA MUNGU NA MWENYE HOFU YA MUNGU.

Mwanamke ambaye atakupa watoto wenyr hofu ya Mungu...

KWA UFUPI WANAWAKE WACHA MUNGU. NI WANYENYEKEVU KWA WANAUME, WAAMINIFU, POPOTE UWAPO NDAN AU NJE UNA AMANI, NI WANAWAKE WANAOKUPA SIFA MBELE ZA WATU KUANZIA UONGEAJI, UVAAJI, MIENENDO YAO.


Shiiiiit, unaoa mwanamke anatoroka au anatoka kazin, anaenda kuoshwa miguuu kwa hutu tujumaa, tunamchezeaaa weee, tunamshikaa wee, mwanamke kavaaa mapaja njee, , anarudi nyumban anakuita Mume
... Broooo hamna kila kitu hapoooo yaan hamna kila kitu .



Hamna mkeeeee ,humo kuna mwanamke tu ila sio Mke, na kwa mantiki hiyo ,UTATAABIKA SANA.

Asubuh njema mkuu.
 
Ndugu shetani, upo na huku pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…