Kwa hiki kinachoendelea TRA sasa ni kitu cha kuchukua hatua

phytoscience

Member
Sep 30, 2017
12
7
Habari za leo.

Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload.

Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya kisheria yatekelezwe. Sheria inataka mpaka tarehe 30 sasa kufanya system iwe na issue wakati tunajua kabisa tunawateja wangapi kuwa na server ambazo zinaweza kuwaaccomodate watu wote ni kitu muhimu.

Tulipende taifa letu kwa kuhakikisha mifumo iko vyema. Ahsanteni
 
Kwani hawana backup? Ni kosa

☝️ Pendekezo la waziri mkuu sio mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…