Poleni ndugu zangu na vitisho huko Dodoma!
Michezo inaondoa stress kibongo bongo ni stress plus depression!
Ticket za electronic hovyo
FA iliyoahidiwa haieleweki,
Timu ya taifa ni ya kudumu ni walewale,
Na buku la virabu mnakaba?
Nataman tufanye uchaguzi mpya,ingawa sitagombea. Bora s.sita kuliko malinzi's team