Kwa heri voda,tusijuane


Hivi hiyo ni wenye pc tuu au hata simu???
 
Acheni majungu!voda mbona iko pouwa tu.mmetumwa nn kuharibu biashara za watu?acheni majungu,kama hupendi kitu,usicönvice nawengine wakichukie,bora ujikate mwenyewe kimyakimya,kama umepata hasara hiyo nijuu yako na shida zako mwenyewe.VODACOM,IPO JUU.nakupenda voda na nitaendelea kukuenzi coz umenirahisishia maisha.BIG UP!
 
Kuweni Wazalendo, tumieni vya Kitanzania, karibuni TTCL!
TTCL yenyewe ni ya mijini tu! ukitoka nje km mbili tu kimeo!
Niliingia mkenge nikanunua moja ya handsets zao; nilipohamia vijijini ilibakia mdoli wa kuchezea watoto.
Miaka kibao wameshindwa kuimprove hata chembe; Tanzanians, are we really serious?
 
voda imeshakuwa ya mafisadi.inakata fedha za wateja itakavyo.bila ya kuulizwa na mtu, lakin kumbukeni kila kitu kina mwisho
 
Angalia vizuri salio maana vifurushi unaangalia salio kwa kupiga *147#.
Ila ukweli ni kuwa siufagilii kbs mtandao wa voda.
Bei zao zipo juu sana kuanzia bundle za internet hadi mpesa.
Ni kampuni nyonyaji sana

Umeona gharama za intaneti ya Airtel?
 
Labda ni kampuni kongwe kwahiyo imesha zeeka tanzania haina nguvu ya ufanisi tena.unaijua tritel miaka ya1995/6 wafanye kama walivyofanya tritel.
kampuni kongwe ni mobitel a.k.a tigo

voda na airetl hawa ni wa 2000s
 
huyu MEZA sijui nini anabana matumiz ya kampuni hadi mafuta ya kwenye minara ya network....:target:
 
DAh...NILIJUA PEKEYANGU KUMBE NAWENGINE YANWAKUTA? MI NADHANI WAMEAJILI WEZI NOWDAYS. JIREKEBISHENI,COZ LAITI KAMA NISINGEKUA NIMETUMIA NO YA VODA KWENYE DOC ZANGU NYINGI NINGEWAFUTILIA MBALI,BUT HATA HIVYO NAENDELEA KUWEKA MAZINGILA SAWA SINA MWAKA LAINI YANGU YA TIGO NDO ITAKUA KILA KITU COZ SINA KERO NAO,NA MITANDAO MINGINE SIJAWAHI KUTUMIA NIKIJIFANYA MWAMINIFU KWA VODA.WANAVIITA VIFURUSHI VYA CHEKA, JIUNGE UONI KAMA SIO UZUSHI,SALIO LAKO KWISHNEI NDANI YA SEKUNDE KADHAA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…