Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
- Thread starter
- #21
Mkuu hiyo boom j7 nakupa 20,000/=
Tag 20000 kwa maana elfu ishirini?
Mkuu hiyo boom j7 nakupa 20,000/=
NdiyoTag 20000 kwa maana elfu ishirini?
Ndiyo
Usije ukaanza ujinga wa kutuuliza eti kitu flani nafanyaje? Sjui naekaje miziki sjui nadownloadije video za ngono hizo ni shida zako....
We unatoka sim ya elfu hamsini mpaka ya milion mbili? Umekula maharagwe ya wapi wewe? Una akili kweli?
Familia yako wamekula nini? Au ndo unaona mafanikio ni simu tuu?

Tayari una simu ya ndoto yako, Tecno umeshaiaga. Naomba uniachie mkuuAcha joking kijana