The Independent
Member
- Jul 10, 2014
- 21
- 11
Combine majina yoteKAMBI ZOTE HIZI HAPA
Sheria haitawabana?Kama kuna mtu anandugu au mtoto Wa kike mwambie aachane na hizo mambo
why?Useless. Waste of time.
Kama mtu hana mpango wa kufanya kazi jeshini, huo muda wakuwa huko bora aende hata English course au apumzike tu nyumbani.why?
hii si inawasaidia saidia kuwa wakakamavu labda kuweka mwili vizuri?Kama mtu hana mpango wa kufanya kazi jeshini, huo muda wakuwa huko bora aende hata English course au apumzike tu nyumbani.
ππhii si inawasaidia saidia kuwa wakakamavu labda kuweka mwili vizuri?
ππππhayaa kwahiyo inabidi wamtafute rasi simba.....ππ
Hata gym mwili unakakamaa.