woord! Kama hiyo ya kufanya sampling nilimvunjia heshima BIG japokua alikua mkali kwenye flow ila 2pac alimfunika kila mahali...kwa flow big alikuwa mtamu nakubaliana na wewe ila usitafute dhambi za kumfananisha nguli tupac na bonyenye katika kigezo kingine chochote!na pia usijidanganye kama swagger za flowing ndo zinampa mwana hip hop heshima ya nyota tano....tupac hakutegemea vionjo vya r n b kunogesha nyimbo zake alivyokuwa anafanya biggie au kutumia sampling hits za malegend! alikuwa anatumia beat ngumu lakini hata wasiyopenda ngumu walipenda nyimbo zake,ujumbe katika nyimbo zake uliitoa hip hop mtaani na kufanya serikali warecognize hip hop,alikuwa anaweza kuteka hisia ya msikilizaji wa nyimbo zake pindi haki inapokesana na kumpa maumivu ya hisia msikilizaji.....tupac made biggie!bila beef na tupac,biggie ni kimada katika hip hop!
Ukitaka kujua big he got flows,,isikilize Machine Gun FunkBiggie mkali wewe, hebu ckiliza player's anthem au ten crack commandments au.....halafu kwa michano ile uniambie ka kuna mjinga anatia maguu, Biggie ana sauti ya mamlaka! Biggie ni numero uno.
Your understanding is away by far ..Biggie mkali wewe, hebu ckiliza player's anthem au ten crack commandments au.....halafu kwa michano ile uniambie ka kuna mjinga anatia maguu, Biggie ana sauti ya mamlaka! Biggie ni numero uno.
Nakwanini 2pac ndo anaongelewa zaidi ya biggie ?nasikiliza blenda got a baby . We utakuwa fat kama biggie...
PAC na BIGGIE SMALLS kila mmoja alikuwa na uwezo wake kipekee.
Kwahiyo huwezi kuwaweka wawili hawa pamoja, na kuwashindanisha nani zaidi?
Utapotea.
Kila mmoja alijaaliwa kitu adimu ambacho mwenzake amekikosa.
Ukiniuliza nani zaidi kati ya PAC na BIGGIE SMALLS, jibu la haraka nitakupa PAC.
Ila nikimsikiliza BIGGIE SMALLS jinsi anavyoondoka mistari yake kiufundi na kwa namna yake, hapa inabidi niwe Matawi ya chini, BIGGIE SMALLS anatisha.
Ukisikiliza ALBUM yake ya kuitwa READY TO DIE, vibao vilivyomo ndani ya ALBUM hiyo kwa kweli Michano yake ni hatari.
Hebu niambie VIBAO kama Everyday struggle, One more chance, Big poppa, Gimme the loot.
Hivi VIBAO ni vikali mno.
Hebu sikiliza kibao chake cha kuitwa JUICY ndio utajua BIGGIE SMALLS ni moto wa kuotea mbali:-