Wana Chit Chat
Naombeni nivae uhusika...
Katika maisha yangu yote nimekuwa nikiteswa nahii fedhea ambayo nime jitahidi sana kuifuta kwa kufanya kila nalo weza, sikuwa mlevi lakini kwa sasa napiga sana mtungi, pombe kila aina, beer, viroba, sigara, taputapu, mnazi, komoni, ulanzi ilimradi kulewa ili hii hali inipotea lakini wapi hii fedhea imenifanya mpaka leo hii mwaka kumi sijarudi, ntaingiaje!.
Ilikuwaje… Hapa nyumbani tulikuwa tunaishi mimi, mama yetu mzazi na wadogo zangu wanne mi nikiwa mtoto wa kwanza wa kiume, baba alifariki miaka michache iliyopita.
Hali ya maisha ilikuwa ngumu kutokana na kipato kidogo cha mama, na binafsi sikuwa nafanya kazi ndio kwanza nilikuwa nime hitimu kidato cha nne, hivyo bi mkubwa ilikujiongezea kipato aliamua vyumba vinne vya uwani kuweka wapangaji, na kwa bahati alipa wapangaji wa kike tu.
Kiumri ndio nilikuwa nimebarehe, homa ya barehe haikuniacha hivi hivi ilinikumba. Na ilinikumba kiajabu, nikawa siridhiki kupitwa na umbile la kike machoni mwangu. Sio kwamba nilitaka papuchi la hasha nilitamani kuchungulia zoezi zima uogaji, yaani mwanamke akiwa anaingia bafuni kuoga wallah sikubali ni lazima nimchungulie.
Mazingira ya bafu la hapa home yalikuwa rafiki kwa zoezi langu, bafu lilijengwa kwa mabati na uzuri ni kwamba mabati yalikuwa makuukuu na yenye vijitundu vidogo vidogo ambavyo ni rahisi kumwona alie ndani kukiwa na mwanga kuliko yeye kukuona. Bafu ililikuwa kwenye kona karibu kabisa na kijiuchochoro kilicho zibwa.
Nilikuwa napenda kutekeleza chabo yangu mida ya jioni, nilikuwa nikiona tu mdada mpangaji anajianda kuingia bafuni fasta nawahi kichochoroni na kujiandaa kula chabo. Ntaangalia weee huku moyo ukinienda mbio, na kama hali inaruhusu najipiga puchu namaliza ki roho safi. Haka katabia kaliendelea mpaka nikawa addicted nako …yaani nisipokula chabo naona siku haijaenda, nahangaika mpaka natamani niwaambie wadada… jamani eeh si mkaoge nile chabo.
Sikumoja nikiwa nimenogewa na chabo ya dada mmoja mwenye umbo la kibantu huku puchu imefika mahali pake, niishiwa nguvu kidogo niaanguka, hivyo kilepurukushani kikamshitua Yule dada, kuanzia hapo wasiwasi wa kwamba wadada wanapigwa chabo ukaanza. Baada ya ufukunyuzi kuna mtu aliwatonya wadada kwamba wala wasihangaike anae wala chabo ni huyu kijana wa mama mwenye nyumba.
Taarifa baada ya kumfikia be mkubwa hakusita kuniita na kunionya, nikabishasha pale nikaona dah ishakuwa issue wacha nipunguze. Kweli nikajikaza wiki nzima sikula chabo, baada ya hiyo wiki nikaona cha kujifia nini mdogo mdogo nikaanza tena. Kumbe muda huo ushushu ulikuwa on move baada siku kadhaa bi mkubwa akaniita tena, akafungua risala wee mi namcheck tu. Kama kawaida nikabisha bisha yakapitia kulia yakasambaa hewani, mi na chabo chabo na mimi.
Basi zoezi la kunifunza kiulimwengu likaandaliwa bila mi kujua, ilikuwa jioni maridhawa Yule dada ambaye nikila chabo yake ni lazima mkono ukamate ikulu nikitupe, akajiaanda kuingia kuoga kama kawaida nikawahi kichocholini na kipande changu cha sabuni.
Ile kufika nikaanda mazingira nikaa mkao wa kula chabo na puchu…huku nimeikatilia ikulu nikainama dah mzigo huu hapa kitu cha ukweli kikawa kinajinyonga nyonga huku sehemu za makalio ndio ziko kwa nyuma karibu kabisa na kijitundu nacholia chabo. Ghafla Yule dada akageuka na kuusogeza uso wake kwenye kitundu then akaita jina langu akasema umeridhika mwanangu …shit kumbe bi mkubwa… kuanzia siku hiyo nikachapa lapa.
Ntaingije home ntamweleza nini bi mkubwa, ntamwangaliaje?