Kwa Diaspora CHADEMA damu


Kwanza Chadema hawajaomba pesa. Pili diaspora wengi sio wanasiasa ni watu wanaotaka kusadia nchi. Karibu diaspora wote hata wale wa CCM watakuambia wanachoogopa zaidi ni mfumo wa Tanzania kwenda kwenye udikteta. Hii ni ngumu kama upo Tanzania kuiona lakini ukiangalia kwa nje picture ni clear kwamba tunaenda kwenye udikteta. Watanzania wengi hawajali vyama maana kila siku majina yanabadilika. Vyama ni brands tu! Lakini tatizo ni mifumo na njia ni kuwapa pressure uongozi wa nchi waishiko waweke vikwazo Chadema pekee haiwezi. Hawa Chadema ni vijana wenzetu hatuwezi kusubiri watu wengine waokoe maisha ya watoto wetu au nchi yetu. Sio lazima uwe na chama kusaidia kikubwa ni kupinga mfumo mbaya na unyanayasaji sio kushinda ubunge au udiwani
 
Mawazo mazuri sana na huo ndiyo uzalendo huku uzalendo ukisifia 'with immediate effect you get an appointment'
 
Mbona ninyi mnakila kitu mpaka viwanja vya michezo mlipola nchi nzima,lakini mnachangisha mashimo ya choo,madawati hadi madarasa.na mnalilia pesa za
Kwa hiyo unakubali kwamba hujui matumizi ya millioni 320 kila mwezi ya chama chako ooops kampuni yenu?
 
Mbona ninyi mnakila kitu mpaka viwanja vya michezo mlipola nchi nzima,lakini mnachangisha mashimo ya choo,madawati hadi madarasa.na mnalilia pesa za

''Lwiga lwiga kihonga mnyoo mgata.''
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…