nimetumiwa whatsap sijaskiliza ngoja nskilize...mh wetuuuuulisikia ile audio mtu kaigiliza sauti sauti ya wema eti akitoa hoja bungeni
hahaaaaa ukaguzi hamna deal siku hizi best,wanaomba rushwa wakifika mashuleni hatarii tena she za mjini ndo tunakula maisha balaa..hatukaguliwi chochote...mkuu akiwapa mlungula wanasepa haooSi anakutafutia ka chance humo humo idara ya elimu unaeza hata kua mkaguzi huezi jua ha ha ha "it's like...u know....u know..u know" pyeeeee sijui ticha wake wa English ni Madame B, sijui ni wewe na nahisi mwalimu hakumaliza topic
Aisee.., tumtakie fungo njema.
Kuna watu waliomba poo nini lol
Lazima wanajifanya ma lady wanaogopa kutolewa pangoni. Na wapitao nao wanaogopa chezea fans wa Diamond ikija kwa yanayomuhusu hakunaga.
Halafu matusi ndio wanayajua zaidi wakirudishiwa hao wanaanza kujifanya na uledi
Humu mbishi ni matola tu tuzo ya ubishi atachukua yeye
Mweh madame kafanya nini mbona banneddunia nzima kafika kafanya kazi idara zoteee
Mmmh nnachojua mie mjini ndo maeneo yao sie kwetu hapa mjini wanakuja kwa mwaka hata mara 3 mtu unakaa roho juu jamani hata unashindwa kuuza visheti kwa rahahahaaaaa ukaguzi hamna deal siku hizi best,wanaomba rushwa wakifika mashuleni hatarii tena she za mjini ndo tunakula maisha balaa..hatukaguliwi chochote...
Mweh madame kafanya nini mbona banned
wangeuacha kwa vizazi vijavyo..!!
watakua wamemchongea,nahis mod kaandikiwa magazeti ya kufa mtu
#moderator mrudisheni Kimbley acheni upendeleooo mmeandikiwa magazeti huko mmelewa sijui
Mmmh vi mtu vya humu navyowatakua wamemchongea,nahis mod kaandikiwa magazeti ya kufa mtu
#moderator mrudisheni Kimbley acheni upendeleooo mmeandikiwa magazeti huko mmelewa sijui
Wanalazimisha akubalike kwa nguvu...pole pole ndo mwendoHhhheeeeew
Wanalazimisha akubalike kwa nguvu...pole pole ndo mwendo
timu kuandika magazeti washafanya Yao Kimbley
Hhhheeeeew