ngoja watumwa wao waje....patakua hapatoshii[/QUOTE}Mimi ni mtumwa wa DIAMOND na sijali ukiniita hivo hata ukinikuta jukwaa lolote niite tu nitaitika. wao ndo wamedhihirisha roho zao kwamba wanachuki na DIAMOND mwanzo tulipokuwa tunasema kuwa tunaambiwa kuwa tunawalazimisha kumpenda msanii wasiyempenda, lakini sasa imedhihirika kile tulichokuwa tunakisema wanaposema TUMPIGIE KURA DAVIDO NA SI DIAMOND hii ni kauli ya chuki. mimi pamoja na kwamba ni shabiki wa DIAMOND lakini Kiba akifikia hatua ya kutaka kura kwetu wtz za nje siwezi kutoa kauli za hivi ni bora kukaa kimya sitapungukiwa na kitu hata kiba mwenyewe anaanza kuwaogopa hao wanaojiita mashabiki wake yeye mwenyewe hawezi kutoa kauli za hivi
Njoo huku sasa teacher kilaza kule kumefungwa
Nilikuwa busy naandika gazeti kama kawa lakuwasema hao wanafiki wa nchi, duh narusha imefungwa.
Haya big up kwako na Dinazarde kwa kusimamia haki ya muimbaji Diamond Platnumz anayeongoza Tanzania maana ni wa kimataifa.
njoo huku sasa teacher kilaza kule kumefungwa
no .,, not again. Please.
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema angejihakikishia kurud kama ilivokua kwa Penny sizani kama kelele zingekua hivi, sasa Zari ni maji marefuu mbaayaa, Wema hayawezi,na hicho kitendo Wema kinamuuma mpaka basi.
Ndiyo maana hata uko insta anafight mpaka basi na kutengeneza account fake na kutaka kumkomoa Diamond lakini wapi patupu.,, Wema siyo wa kumkampenia Kiba jamaniii, ni maumivu ya moyo ndiyo yanayomsumbua. wema anampenda sana DAIMOND.
Diamond na Alikiba wao binafsi hawana beef lolote, hata mameneja wao walishaliongerea mara kadhaa,. Tatizo ni sisi mashabibiki na team zetu ndio tunakuza mambo,
Wenzenu wanaingiza siku, nyie kutwaaaa kusigina figisufigisu zenu (copy & pst)
Haaaaaaaaaaaaa umetumwa
Mbali na kuwa majimarefu kaamua na kuzaa kabisa zari buana kwi kwi kwi....upande wa king sio vibaya akifanyiwa women empowerment wanawake wakiamua wanaweza!!
Mpende sana akipata ubunge anaweza akakuchomeka kwenye idara yoyote huezi jua ha ha ha mi nlikuaga shabiki wake zamani nkaona ananikanyagia waya tu ila sio kwamba namchukiando habari ya mjini hyo
penye kila mafanikio ya me kuna ke pale ujue...!!!!
adui wa adui yako ni rafki yako..!!
eve nimejikuta nampenda wema ghaflaa...