Hapo unamaanisha kuagiza? Kwa rav 4 hela ndogo iyo kwa ushuru wa TRA ila ukinunua kwa mtu unaweza kupata nzuri tu kwa bei chini ya hapoHabari Wakuu,
nina jamaa yangu anahitaji gari,bajeti yake ni Mil 15,na anapenda sana sana RAV 4 Je anaweza kupata wapi? kuagiza au showroom za ukweli wapi?
Au mbadala wa hiyo Gari kwa bajeti hiyo...
Ahsante kwa Ushauri Mkuu, ila hata nikipata Mtu anaeuza itakuwa Poa sana, vipi kuhusu hizi yard za magari hapa DSM?Hapo unamaanisha kuagiza? Kwa rav 4 hela ndogo iyo kwa ushuru wa TRA ila ukinunua kwa mtu unaweza kupata nzuri tu kwa bei chini ya hapo
Mkuu nataka kupata Gari moja kubwa tuuu,ninakaa kwenye mashimo Mkuu,kama RAV4,ESCUDO,Na Mengine kama hayo Mkuu...Hiyo pesa ni nyingi sana. Kwa hiyo usiulize unaweza kupata gari gani, uliza unaweza kupata magari mangapi? Na jibu ni kuwa unaweza ukapata vi baby walker viwili. Kimoja cha kwako na cha pili cha mwenzi wako...
Rav 4 japan unaweza kupata kwa dlr 4000.00 mpaka hapa ushuru unalipa ml 7 ukiongeza kidogo utapata gari ya chaguo lako.Ahsante kwa Ushauri Mkuu,ila hata nikipata Mtu anaeuza itakuwa Poa sana,vipi kuhusu hizi yard za magari hapa DSM?
Hiyo Dinari ndo Tsh ngapi za kibongo Mkuu?Rav 4 japan unaweza kupata kwa dlr 4000.00 mpaka hapa ushuru unalipa ml 7 ukiongeza kidogo utapata gari ya chaguo lako.
Sio dinar ni dollar ambazo ni kama milioni nane na nusu.Hiyo Dinari ndo Tsh ngapi za kibongo Mkuu?
je kutoka 15M,Iongezeke ngapi Mkuu?
sababu naona Beforward hawakamatiki....
Mkuu hiyo nimeiona lakini sio VVTI Ambayo hazili mafuta,kwa hela hiyo zitakuwa engine ni D-4, nasikia hizi zinakula sana sana Mafuta,ila ukipata Engine V VTI Inakula mafuta kidogo sana,umewahi kuchunguza hilo?Sio dinar ni dollar ambazo ni kama milioni nane na nusu.
Mkuu usisikilize stori za vijiweni. 15m ukiagiza mwenyewe unapata Rav4 old model.Mkuu hiyo nimeiona lakini sio VVTI Ambayo hazili mafuta,kwa hela hiyo zitakuwa engine ni D-4, nasikia hizi zinakula sana sana Mafuta,ila ukipata Engine V VTI Inakula mafuta kidogo sana,umewahi kuchunguza hilo?