Achimbe ninitena wakati data kakumwagia hapo nanyingi zinaukweli tanzania ya sasa tofauti na uliyoizoea sikuhizi hatudanganyikiiiii!!!!!Mbona umeingia na jazba baada ya kupotea muda wote huu? Nyingi ya assessments zako ni za ovyo na ambazo hazina vigezo. Zimeegemea zaidi kwenye chuki yako dhidi ya am serikali au baadhi ya mawaziri hao. Chimba zaidi ili tupate data za uhakika mkuu!
NAzidi kujiuliza maswali kuhusu mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Lakini kila nikiliangalia baraza la mawaziri nazidi kukata tamaa. Hawa ni baadhi ya wahusika wanaotakiwa kutupeleka kwenye muongo mpya wa 2011-2020.
1) Dr Dr Dr Kikwete: Huyu anahusika kwa njia moja au nyingine na kashfa za Richmond na DOWANS. Ni rafiki wa mafisadi na Dr Hosea wa TAKUKURU alishasema amempa amri asijaribu kushughulikia mafisadi halisi. Katika kuitumia familia kuhodhi nchi, amemzidi Mkapa (unamkumbuka mama Mkapa?) na Mwinyi (mnamkumbuka mama Sitti Mwinyi)
2) Makamu wa Rais Gharib: Huyu nalikuja na gia nzito ya kuhakikisha waislamu wanapata mahakama ya kadhi. Hoja imefifia na si tu kawadanganya waislamu bali hata maelezo kwa nini alifanya hivyo hajatoa. Kwa kuzingatia ukosaji kazi wake, Dr Dr Dr Kikwete alimshauri awe anafundisha UDOM
3) Pinda: Huyu bwana anachojua ni kulia lia tu. Watu wanamuita mtoto wa mkulima lakini wanasahau kuwa baada ya akina Lowasa kujiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond, alienda Igunga akawaambia wapiga kura kule kuwa "achaneni na mambo ya bungeni, Rostam ni mtu mwema"
4) Sitta: Huyu bila huruma ametumia shilingi milioni 850 kujijengea ofisi Urambo. Ni huyuhuyu aliyeshiriki kumsimamisha ubunge Zitto Kabwe wakati huo Zitto alikuwa akijitambua bado
5) Magufuli: Huyu anakashfa ya kuuza nyumba kwa bei chee wakati akiwa waziri wa Ujenzi. Inasadikika alimpa madeal mengi kaka yake pia wakati huo.
6) WAziri wetu wa fedha: Fisadi namba moja aliyehusika kwenye kashfa wakati akiwa mkurugenzi wa mfuko mmoja wapo wa jamii.
7) Wassira: aka Tyson, ni kikongwe anayesifika kupiga watu ngumi pila kuwa na uwezo kiutendaji.
8) Nyalandu: Kahaba fisadi ambaye habari zake zitazirudia maana zimeandikwa kwa kirefu kwenye threads zingine
9) Nchimbi: Fisadi anayehusishwa moja kwa moja na kumdhibiti marehemu mtoto wa Malecela alipokuwa akitayarishwa kuingia UVCCM
10) Ngeleja: Wakili wa Rostam (Vodacom) asiyejua aibu inapokuja kupigania maslahi ya BOSI wake (rostam)
11) Nahodha: Kamanda aliyesimamia mauaji ya zaidi ya wapemba 20 wakati wa kipindi cha udikteta wa Mkapa na Salmin
12) Membe: Mtu mwenye uchu wa madaraka ambae yupo radhi kuwadanganya waislamu kuwa atawapa OIC kama zawadi ikiwa wataendelea kumkubali
13) Sina haja kuwaongelea vimwana akina Kabaka, Kombani na mamah mwenyekiti wa wakinamama wa CCM ambao kazi yao ni kuimba taarabu na kumpa sifa Dr Dr Dr Kikwete.
Anaedhani nchi hii itakuja kuendelea ni aidha MLEVI au AKILI YAKE HAINA AKILI
Amemtaja mkulo kama waziri wa fedha na Sofia Simba kama Kimwana. Huyu bwana Kamanzi amekaaa kitaa sana. nadhani kuingia humu room ni kama ameingia choo cha kike.Maelezo yake yamejitosheleeza na amefikisha ujumbe barabara,sema wapo watu ameacha kuwataja ambao wanaizamisha Tanzania waziwazi
-Mathias Chikawe
-Shukuru Kawambwa
-Sophia Simba
-Mustafa Mkulo
NAzidi kujiuliza maswali kuhusu mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Lakini kila nikiliangalia baraza la mawaziri nazidi kukata tamaa. Hawa ni baadhi ya wahusika wanaotakiwa kutupeleka kwenye muongo mpya wa 2011-2020.
1) Dr Dr Dr Kikwete: Huyu anahusika kwa njia moja au nyingine na kashfa za Richmond na DOWANS. Ni rafiki wa mafisadi na Dr Hosea wa TAKUKURU alishasema amempa amri asijaribu kushughulikia mafisadi halisi. Katika kuitumia familia kuhodhi nchi, amemzidi Mkapa (unamkumbuka mama Mkapa?) na Mwinyi (mnamkumbuka mama Sitti Mwinyi)
2) Makamu wa Rais Gharib: Huyu nalikuja na gia nzito ya kuhakikisha waislamu wanapata mahakama ya kadhi. Hoja imefifia na si tu kawadanganya waislamu bali hata maelezo kwa nini alifanya hivyo hajatoa. Kwa kuzingatia ukosaji kazi wake, Dr Dr Dr Kikwete alimshauri awe anafundisha UDOM
3) Pinda: Huyu bwana anachojua ni kulia lia tu. Watu wanamuita mtoto wa mkulima lakini wanasahau kuwa baada ya akina Lowasa kujiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond, alienda Igunga akawaambia wapiga kura kule kuwa "achaneni na mambo ya bungeni, Rostam ni mtu mwema"
4) Sitta: Huyu bila huruma ametumia shilingi milioni 850 kujijengea ofisi Urambo. Ni huyuhuyu aliyeshiriki kumsimamisha ubunge Zitto Kabwe wakati huo Zitto alikuwa akijitambua bado
5) Magufuli: Huyu anakashfa ya kuuza nyumba kwa bei chee wakati akiwa waziri wa Ujenzi. Inasadikika alimpa madeal mengi kaka yake pia wakati huo.
6) WAziri wetu wa fedha: Fisadi namba moja aliyehusika kwenye kashfa wakati akiwa mkurugenzi wa mfuko mmoja wapo wa jamii.
7) Wassira: aka Tyson, ni kikongwe anayesifika kupiga watu ngumi pila kuwa na uwezo kiutendaji.
8) Nyalandu: Kahaba fisadi ambaye habari zake zitazirudia maana zimeandikwa kwa kirefu kwenye threads zingine
9) Nchimbi: Fisadi anayehusishwa moja kwa moja na kumdhibiti marehemu mtoto wa Malecela alipokuwa akitayarishwa kuingia UVCCM
10) Ngeleja: Wakili wa Rostam (Vodacom) asiyejua aibu inapokuja kupigania maslahi ya BOSI wake (rostam)
11) Nahodha: Kamanda aliyesimamia mauaji ya zaidi ya wapemba 20 wakati wa kipindi cha udikteta wa Mkapa na Salmin
12) Membe: Mtu mwenye uchu wa madaraka ambae yupo radhi kuwadanganya waislamu kuwa atawapa OIC kama zawadi ikiwa wataendelea kumkubali
13) Sina haja kuwaongelea vimwana akina Kabaka, Kombani na mamah mwenyekiti wa wakinamama wa CCM ambao kazi yao ni kuimba taarabu na kumpa sifa Dr Dr Dr Kikwete.
Anaedhani nchi hii itakuja kuendelea ni aidha MLEVI au AKILI YAKE HAINA AKILI
Nimeanza kuamini kwamba humu chumbani wengi tunaongea kishabiki sana kuliko kauli mbiu ya room(DEEP THINKERS). Kaka mbona umejaribu ku pick cream ya CCM na kuipaka matope ili mradi tu wenye kuona karibu kama ww tusiweze kugundua kuwa unawachafua VICE PRESIDENT PM, SITTA, MAGUFULI, NYALANGU MEMBE na wengine. Kwa nini umetumia sana walinganya waislamu? bora ungetumia kiswahili cha wameshindwa kutimiza ahadi zao! Hivi mke wa SLAA alijipaka rangi kule Arusha na kudai kuwa ni damu ya risasi za polisi yeye akiwa kama mwana-CHADEMA au fisrt lady? .