Kwa Bajeti ya 450K napats simu gani nzuri?

Kwa Bajeti ya 450K napats simu gani nzuri?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,629
Reaction score
9,734
Wakuu kuna mtu nataka nimchukulie simu sasa kwa pesa hio napata simu gani ya kueleweka ukiachana na Tecno, infinix, Itel kuna hii Samsung Galaxy J4 plud vipi mliowahi kuitumia!?
 
Unaweza hata ukamnunulia iPhone 6 mpyaa 16. 64gb ongeza 50k, mcheki huyu huyu jamaa

IMG_5031.JPG
 
Wakuu kuna mtu nataka nimchukulie simu sasa kwa pesa hio napata simu gani ya kueleweka ukiachana na Tecno, infinix, Itel kuna hii Samsung Galaxy J4 plud vipi mliowahi kuitumia!?
Samsung Galaxy J4+ ni over price ukiuziwa kwa 450k.
 
Redmi note 6 pro ndio nzuri kuendana na hela yako... Agiza aliexpress.. Itachukua wiki mbili kufika... Kama upo interested ni pm tuangalie unaipataje
 
Back
Top Bottom