Kwa Babu Loliondo

Kwa Babu Loliondo

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Usione kimya best...nipo kwenye foleni Loliondo toka jumatatu, mimi ni mtu wa 1561..! huku hakuna kuzamia ukizamia tu au kutoa rushwa hauponi...nyuma yangu nawauona jamaa kibao, mohamed Shossi, Washawasha. Katavi, Gurta, Lady N, Husninyo, Zayat, Mkombozi, Mfarisayo, Genekai, Jaguarpaw, Mr Cool, Nduka, Superfisadi, Wacha1, Mmwanifu, Jaluo Nyeupe, Gaston, Mbweta, Puuuu, Maria Roza, Dorry, Corlpole, Mbimbinho, huwezi amini mpaka Invisible amepanga foleni ni mtu wa 1569, mashikolomageni wa 1621..nitakuwa nakujuza kila kitu ila network tatizo
 
Usione kimya best...nipo kwenye foleni Loliondo toka jumatatu, mimi ni mtu wa 1561..! huku hakuna kuzamia ukizamia tu au kutoa rushwa hauponi...nyuma yangu nawauona jamaa kibao, mohamed Shossi, Washawasha. Katavi, Gurta, Lady N, Husninyo, Zayat, Mkombozi, Genekai, Jaguarpaw, Mr Cool, Nduka, Superfisadi, Wacha1, Mmwanifu, Jaruo Nyeupe, Gaston, Mbweta, Puuuu, Maria Roza, Dorry, Corlpole, Mbimbinho, huwezi amini mpaka Invisible amepanga foleni ni mtu wa 1569, mashikolomageni wa 1621..nitakuwa nakujuza kila kitu ila network tatizo

Afadhali haujaniona
 
great thinker mmeshafika huko niwekee namba hata jiwe niko njiani nakuja
 
Mimi niko hapo namsaidia babu kubebelea sinia la vikombe, nimeshakunywa vingi sana, siamini kimoja!
 
Back
Top Bottom