Unapata mimba,na mwenzio anakukataa maana yake hana upendo wa kweli juu yako.Fumbo bado liko palepale"wenye mapenzi ya kweli hawapewi nafasi,wenyekupewa ni hit n run"
Kuna jamaa alikuwa na demu wake mfanyabiasha ndogondogo. Katika mahusiano yao binti akapata mimba, jamaa kupewa taarifa na demu kakataa katakata kuwa sio yeye kisababishi na kumwambia amtafte mpachkaji wa hiyo mimba na kama ataendelea kumsumbua atamfanya kitu mbaya.
Baada ya kuona hivyo, binti mimba akatoa, jamaa kugundua mimba imetolewa kaanza kuchonga ooh nilikuwa niitwe baba karibuni...mara kutoa mimba ni sawa na uuaji.
NIONAVYO MIMI
Kuwe na sheria ambayo inawabana pia wapachika mimba wenye tabia kama ya huyo hapo juu endapo itadhibitika kuwa mimba imetolewa au mtoto katupwa chooni au popote mara tu baada ya kuzaliwa, sio kila siku tunalaumu upande mmoja tu wa wanawake.
#wewe unaonaje?#
Yeah. Ukiongea ukweli hupewi nafasi. Ni lazima udanganye ndo upate nafasi.
Huyo demu aliona jamaa ana vijisent akaitega mimba...
Hapo ndipo uwezo wako wakufikiri umeishia??????
Huo ndo ukqwli