Kwa anayewaza mbali na mtu smart anajua Mwenyekiti wa CCM taifa aweje!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Mimi sitaenda kupiga kura lakini hii nafasi ikitolewa kwa kukurupuka bila kuzingatia umuhimu wake au kwa mazoea tutakumbukana baadae.

WanaCCM kama bado mnataka hiki chama kiendelee kuishi milele mpeni uongozi mwanasiasa haswaa na mzoefu wa shughuli za kisiasa. Hii nafasi imekaa kisiasa zaidi na sio kutenda kwa kutumia nguvu nyingi.Ni nafssi ya kidiplomasia zaidi.

Jidanganyeni kua kwenye chama hatutaki siasa tunataka vitendo huku chama chenyewe ni cha siasa,jidanganyeni kua hatutaki propaganda tunataka vitendo zaidi.

Tutakumbukana baadaye"Mark my words"
 
Chama kisicho na dira wala muelekeo yoyote anaweza kuwa mwenyekiti. Dira ni kuwafanya wananchi waishi kama malaika na uelekeo ni kuondoa umaskini lakini hiki chama kimeshindwa kuondoa umaskini. Wampe yoyote yule lakini umaskini wa mtanzania utabaki palepale
 
Back
Top Bottom