Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 565
Wakuu habari zenu, tafadhali kwa anayejua chuo cha kilimo Igurusi Mbeya amjuze mdogo wetu amechaguliwa huko. Vipi kuna neema au chenga wakuu wanaokijua?
mkuu unasoma hapo?karibu sana panda gari yoyote shuka Igurusi stendi,uliza barabara ya kwenda utengule hata kwa miguu unafika.
LAND USE PLANNING vipi upo huko nanga la kwata?????? ni pm namba yako nikuunganishe naye dohgo uumpe maelekezoamechaguliwa kozi gani??karibu igurusi chuo kizuri every thing iz here
hvi hyo kozi ni under givernment sponsor au ipo vp mkuu?Kiko poa xAana kitaaluma ndugu..
huwa mara nyingi ina sponsorshiphvi hyo kozi ni under givernment sponsor au ipo vp mkuu?
ok niliomba bt nimekosa hko chuohuwa mara nyingi ina sponsorship
umechaguliwa chuo ganiAnayefaham naomba anijuze , Mimi nimekua selected according to NACTE lakini kunataarifa zinaonyesha Kuwa bado uthibitisho kutoka chouni.
Ningependa kufaham kwamba inachukua mud a gani kuthibitishwa na Chuo , pia mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa diploma za kilimo utaanza mwezi wa ngapi ?
Nivema utafute Namba zao za simu, ili uwasiliane nao direct! Namba zao utazipata kwenye profile yao! AsanteAnayefaham naomba anijuze , Mimi nimekua selected according to NACTE lakini kunataarifa zinaonyesha Kuwa bado uthibitisho kutoka chouni.
Ningependa kufaham kwamba inachukua mud a gani kuthibitishwa na Chuo , pia mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa diploma za kilimo utaanza mwezi wa ngapi ?
Tunakifaham mnooo we karb xna shuka igurusi fuata bararaba ya kwenda utengule ata kwa mguu unafika kwa dk 10Wakuu habari zenu, tafadhali kwa anayejua chuo cha kilimo Igurusi Mbeya amjuze mdogo wetu amechaguliwa huko. Vipi kuna neema au chenga wakuu wanaokijua?
Nimechaguliwa MATI- Igurusi ,umechaguliwa chuo gani
Nambazao ukipiga unaambiwa namba imezuiliwa kwa muda , alaf mamba nyingne ukipiga anapokea RAIA wa kawaida tena mwanamama! Hata cjui how come wameweka mamba zisizo na msaada wowoteNivema utafute Namba zao za simu, ili uwasiliane nao direct! Namba zao utazipata kwenye profile yao! Asante