Kwa Anayejua Samsung Galaxy NOTE 3

Kwa Anayejua Samsung Galaxy NOTE 3

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,288
Reaction score
5,762
Wapendwa
Kuna mtu aliniletea Galaxy note 3 mpya (Haina contacts wala setting zozote) anataka kuniuzia.
Nilimuhoji kuhusu uhalali wake kwa kuwa ni mtu nisiye mfaham
Kanijulisha kuwa kaka yake anafanya biashara ya Dubai hivyo kampatia..ila yeye kaona auze.

Nimeweka laini; ina niambia new line detected
Haimaanishi kuwa ina shida ila, nimewaza...isije kuwa mtu alichukua simu akaweka tracking code ambapo nikiinunua anaweza kuja kunifuatilia aseme iliibiwa.

Nawezaje kujua kama simu imewekwa tracking?

Asanteni
 
Kamlipie hela polisi
 
Back
Top Bottom