Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,288
- 5,762
Wapendwa
Kuna mtu amenijia kwenye ofisi anataka kuniuzia Galaxy Note 3
Mimi simfaham ila amejitambulisha kuwa kaka yake anafanya biashara ya kwenda Dubai.
Simu yenyewe ni mpya kabisa wala haina contact yoyote (haijatumika)
Tatizo langu:
Nimeweka laini ikaniambia new line detected
Ni kahisi kulikuwa kumewekwa laini nyingine kabla ya hiyo ya kwangu.
Wasiwasi wangu: Isije kuwa ni mpya kabisa ila imewekwa tracking system hivyo nikinunua naweza kufuatiliwa na pengine kuambiwa iliibiwa???
Naomba mwenye ujuzi anisaidie
Asanteni