Kwa anayejua anijuze!

Salvatory Mkami

Senior Member
Apr 17, 2013
146
244
Ni ipi sababu inayopelekea ziara za rais za mara kwa mara katika mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na sio Arusha, Moshi, Manyara, Mbeya, Iringa nk?!
 
Huko ndo alikopata kura nyingi,lazima arudi huko ili 2020 wamrudishe tena kwa idadi ila ya kura,though sina hakika kama zitakuwa kama 2015
 
Back
Top Bottom