Maelezo yamenifurahisha sn. Mi pia nimeomba hapo 4th choice.
umeomba coz gani nikushauri
Mwanangu alichagua coz ya bachelor of education science, ninachotaka kujua ni kwamba hiyo coz wanafundishwa masomo mawili ya kufundishia pamoja na education au wanasoma somo moja la kufundishia pamoja na education? Nakuomba sana single mother unitafutie taarifa kuhusu coz hii. Nakushukuru sana kwa ushirikiano ulionipa humu jamvini pamoja wadau wengine wote waliochangia!
pale/hapa MWECAU ni bachela of edu in arts/science, but mwambie atasoma masomo yote mawili yakufundishia from first year na ni lazima sio ombi, na coz za education kwa wingi ziko palepale.
pia kama ni arts na anachukua linguistics may be na kisw/geog/history ajiandae maana linguistics wote wanasoma literature yoote na ni lazima.
karibu.
Asante sana, na ndicho anachopenda yaani chemistry, biology na education.
Nimeomba bachelor of educ science natak kusoma math/geogumeomba coz gani nikushauri
Nawashukuru sana Single mother, Matiba na wadau wengine wote ambao mlinipa maelezo mazuri kuhusu mwecau hata nikavutiwa mwanangu aombe chuo hicho. Namshukuru Mungu amechaguliwa chuo hicho kusoma bachelor of education science.
Ninachouliza kwa wenyeji wa mwecau sasa ni je kwenye registration ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza huwa wanatakiwa wawe na documents zipi? Nauliza hivi kwa sababu hajachukua result slip ya form six na alisomea songea na kwa sasa yupo Dar.