Habari wakuu, nilinunua laptop then nika-upgrade memeory. Kwa vile pc yangu ina slot moja tu (zipo nyingine zina slot zaidi ya 1) ilibidi niitoe iliyokuwapo kwa hyo kwa anayehitaji SSD 128GB ninayo ani-pm tufanye biashara.