Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,933
- 1,179
Nyumba ina vyumba viwili (chumba kimoja Ni self), sebule, choo cha ndani, na jiko la ndani,
nyumba ipo katika sehemu nzuri, Kuna parking, usalama wa kutosha, ipo ndani ya uzio, na pia Kuna space ya kutosha, mfano kuanika nguo etc, mita ya umeme inajitegemea.
ipo Changanyikeni Dar es Salaam, jirani na shule ya msingi.
kodi kwa mwezi Ni 250000TZS
NB: anahitajika mtu mstaarabu Tu, ambaye hana mambo ya kiswahili.
kama upo interested Ni pm