Poa wakuu naona humu jf hakuna mlokole kwa hiyo itabidi sasa ambaye anaona yuko wife materials ani PM. Naona sasa hivi naweza kuanzisha familia, kwa hiyo mwenye vigezo anipe CV yake
sasa upo tayari huyu mtu hujawah ata kumuona, duh.... hebu funguka,upo tayari kwa kutumia vigezo vipi? unampenda? ana kazi? your desperate to get someone?