Mandingo upo bongo WCF kumbe??Inategemea ila wengi wana anza na Tsh 600,000 Takehome.
Naombeni mwenye kujua, atujuze kuhusiana na salary scales na maslahi mengine yanayotolewa na WCF kwa officers wake.
Hahahaha mkuu FARU JEURI nina wateja wangu wengi tu kule, wamekua wakifaidika na huduma yangu.Mandingo upo bongo WCF kumbe??