D deecharity JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 936 Reaction score 515 Mar 11, 2013 #1 habari.. kwa yeyote alienayo anipm ila iwe kwenye hali nzuri na ikiwa black itakua poa sn japokua ht nyeupe z ok. weka na bei.
habari.. kwa yeyote alienayo anipm ila iwe kwenye hali nzuri na ikiwa black itakua poa sn japokua ht nyeupe z ok. weka na bei.
The last don JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 1,164 Reaction score 1,419 Mar 11, 2013 #2 Mkuu kaphone kazamani hivo wewe kamekuvutia nini?....hebu tuambizane bana nikumbukie kalipo kama ni deal la maana la kutafutwa kihivyo,isijekuwa umesikia walitengeneza na kipande cha almasi ukauziwa kisha ukaeenda vuna bingo.
Mkuu kaphone kazamani hivo wewe kamekuvutia nini?....hebu tuambizane bana nikumbukie kalipo kama ni deal la maana la kutafutwa kihivyo,isijekuwa umesikia walitengeneza na kipande cha almasi ukauziwa kisha ukaeenda vuna bingo.