Kwa anaekifahamu chuo cha Nursing Chimala, Mbeya

Zero Brain

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Polen na majukumu wakuu!

naomba msaada
kwa anaekfahamu hcho chuo anipe vgezo vya kujiunga apo na mazngra ki ujumla!
@shkrani
 
Ninavyojua mim hicho chuo hakijasajiliwa lakini kinaendelea kupokea wanafunzi, mim nilimpeleka mdogo wangu hapo kasoma mwaka mzima ndio nikapata taarifa za kutosajiliwa, nikafanya utafiti wizara ya afya nikaambiwa hawakitambui hicho chuo,
Angalizo: fuatilia kwanza wizarani kama
kimesajiliwa hiv karibuni ndio uende,vinginevyo utapoteza muda wako
 
Inaweza ikawa kweli kuna watu wamesoma pale lakini hata hawatambuliki wapowapo tu
 
mdogo wangu kasoma hapo kaajiliwa serikalin tena hospitali ya wilaya sasa hakitambuloki kiVipi
 
Jamani mbona kuna wenzetu wamesoma na wameajiriwa na serikali tena wengine wapo hapa hospitali ya rufaa iringa na mikoa ya kaskazini!!!???
Kwa kusema hakija sajiliwa HAPANA!!! Nadhani mi ni shahidi namba 3. 1. Mkuu wa chuo 2. Wahitimu walioajiriwa.
 
Ninavyojua mim hicho chuo hakijasajiliwa lakini kinaendelea kupokea wanafunzi, mim nilimpeleka mdogo wangu hapo kasoma mwaka mzima ndio nikapata taarifa za kutosajiliwa, nikafanya utafiti wizara ya afya nikaambiwa hawakitambui hicho chuo,
Angalizo: fuatilia kwanza wizarani kama
kimesajiliwa hiv karibuni ndio uende,vinginevyo utapoteza muda wako

1.We acha uongo!!!
Wizara wamekuja mwaka jana kukagua
2. Wizara walikataa kusajili wanafunzi wasio na sifa (UFAULU) mwaka juzi na jana!
3. Wizara ndo wametoa maagizo mengi tu ambayo chuo kinatekeleza kwa barua ambazo tumeziona. mfn. kupanda kwa ada za mitihani(kutoka 60,000 mpk 150,000)
 
hapo hamna vigezo wewe ingia tu..... ila hakijasajiriwa

mm nipo hapahapa CHIMALA
 
Tatizo la vijana ni kutofanya utafiti, subir amalize aje kwenye ajira ndio atajua kuwa cheti alichonacho hakitambuliwi na wizara afya. haya kwa tunaokijua hicho chuo wacha tukae tuangalie
 
Polen na majukumu wakuu!

naomba msaada
kwa anaekfahamu hcho chuo anipe vgezo vya kujiunga apo na mazngra ki ujumla!
@shkrani
Nenda Ilembula hapo Njombe kwa uhakika zaidi, ni chuo kikongwe. Kina mazingira mazuri zaidi kwa mtazamo wangu. Ukitaka uhakika ulizia tu kwa watu.
 
1.We acha uongo!!!
Wizara wamekuja mwaka jana kukagua
2. Wizara walikataa kusajili wanafunzi wasio na sifa (UFAULU) mwaka juzi na jana!
3. Wizara ndo wametoa maagizo mengi tu ambayo chuo kinatekeleza kwa barua ambazo tumeziona. mfn. kupanda kwa ada za mitihani(kutoka 60,000 mpk 150,000)

Endelea kuwapa moyo ila wakianza kutafuta kazi na kujikutj wamebeba magazeti badala ya vyeti, ndio watajua akil yakuambiwa wachanganye na yao
 
Mwenye habari za uhakika kuhusu hiki chuo atujuze tafadhari.
 
Jamani mbona kuna wenzetu wamesoma na wameajiriwa na serikali tena wengine wapo hapa hospitali ya rufaa iringa na mikoa ya kaskazini!!!???
Kwa kusema hakija sajiliwa HAPANA!!! Nadhani mi ni shahidi namba 3. 1. Mkuu wa chuo 2. Wahitimu walioajiriwa.
Labda kama medical attendant ninavyojua chuo chenye usajili ni ilembula
 
Back
Top Bottom