Kwa anaejua chuo cha ESAMI arusha plz atupe data!!

Kwa anaejua chuo cha ESAMI arusha plz atupe data!!

kina muonekano mzuri mazingira tulivu pia hamna utoto utoto maana wanaosoma pale ni kuanzia masters tu.. me nakijua kwa nje nje tu maana naendaga kucheza mpira pale.. pia kina pakana na chuo cha uhasibu Arusha Iaa ..kipo maeneo ya njiro hill Arusha
 
Je waweza nipa namba zao za simu please
 
Nashida nazo sana please ukizipata contact me or text me through whatsapp or even normal text
That number 0783054698
 
niliisha hudhuria short course ya wiki mbili pale, nilichokiona ni kuwa wanachuo waliokuwepo karibu wote ni foreigners ,hasa kutoka Liberia, Senegal, Namibia nk nikashindwa kupata jibu juu ya mchanganyiko huo, na hata wakufunzi pia ni foreigners na posho zetu pia tulilipwa kwa dollars
 
Back
Top Bottom