Tatizo liko hapa, nenda mitandaoni, nenda youtube hutakosa jibu!Nimekwama kwa sababu sijui structure ya database kama jinsi walivyofanya fb
Sio lazima ujuwe database schema ya fb ili uweze kuimplement kitu kama hicho, tumia logic zako, knowledge yako ya c# na database utafanikiwaMsaada wakuu najua wengi wetu tunatumia fb, kuna kile kipandw cha post ambacho mtu akipost kitu kinaonekana kwa watu wote wanaomhusu na wanaweza ku comment na mengineyo.
Lengo langu ni kufanya kitu kama kile ninatumia SQL Database.... Nimekwama kwa sababu sijui structure ya database kama jinsi walivyofanya fb kuweka uhusiano kwa marafiki na issue zingine.
Kwa anaweza saidia hata kwa wazo database na table jinsi walivyozipangilia na kuweka uhusiano wa comments itakua poa sana
NoSQL kwangu si shida nimeahatumia sana.. lakini kitu nafanya now ni lazima nitumie SQLYou can try NoSQL databases like MongoDB, at the surface they can be easier to implement relations but still it's important to understand relational databases.
Also, kwa maoni yangu if you plan and design your database correctly the rest will be easy, so take your time nailing all relations before you write a single line code.
Sikumtazama fb, kitu nimefikiria mimi mwenyewe ishu ni kwamba kinataka kufanana.. ndo maana nikatolea mfano wa fb ili mtu aelewe kiurahisi, lasivyo maelezo yangu yangechukua page tatu.Sio lazima ujuwe database schema ya fb ili uweze kuimplement kitu kama hicho, tumia logic zako, knowledge yako ya c# na database utafanikiwa
Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi.Acha uvivu ndugu. Fanya kazi kisha ukikwama uje useme umekwama wapi tukusaidie hapo. So far hamna ulichofanya zaidi ya kutupa assignment yako tuifanye
Be humble humu mkuu. You don't know who you are deling with. Kuna jinsi ya kuuliza swali as developers tukaelewa uelewa wako na wapi pa kukusaidia, lakini kwa jinsi ulivyouliza hilo swali hata nikitaka kukusaidia sijui pa kuanzia kwasababu sijui nini unajua na nini unataka kujua.Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi.
Na kama wewe ni developer huwa haufanyagi hivyo kijana.
Shukrani boss. Nimenyamaza..!Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi.
Na kama wewe ni developer huwa haufanyagi hivyo kijana.