kwa anaefaham much about automobile

charm_chiddy

Member
Aug 12, 2012
33
3
habari zenu.. Kutokana na mchecheto nloingia nlipoingia account yangu tcu baada ya kua not admitted, nlijaza bach.sci.in automobile engneering ya N.I.T.. Nkaambiwa nko admitted bada ya hapo..sasa leo nltaka nchange ikanigoma,coz npo admittd..sas ka unaijua hyo courz tell me naweza kuwa nan ntapoisoma? Ina maslahi?soko?au?nambien
 
Back
Top Bottom