Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 242
- 431
Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako.Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona ,nimetapeliwa sana bila mafanikio.Msaada jamani.
Je ulifanya kipimo gani kuhakiki ni vidonda vya tumbo?Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona ,nimetapeliwa sana bila mafanikio.Msaada jamani.
Mfanyie majaribio kwa dawa zako akipona ndo akulipe au vipi jomba!Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako...
Mkuu dawa zako ni bei gani?Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako...
Sawa mkuuMkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako. Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori. Lakini kam huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
Kuna majani me nilitumiaga yalinisaidiaga, achana na mataperi wa humu wanaojiita mzizi mbichi sijui mkavuWadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona ,nimetapeliwa sana bila mafanikio.Msaada jamani.
Acha maneno yako machafu kama mlevi wewe.Ukitaka kutoa dawa toa dawa msaidie usilete maneno machafu nimesha wahi kukutapeli wewe mpumbe pumbe? unanijuwa mimi wewe?Kuna majani me nilitumiaga yalinisaidiaga, achana na mataperi wa humu wanaojiita mzizi mbichi sijui mkavu
gharama yako shilingi ngapi?,Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako. Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori. Lakini kama huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
Acha maneno yako machafu kama mlevi wewe.Ukitaka kutoa dawa toa dawa msaidie usilete maneno machafu nimesha wahi kukutapeli wewe mpumbe pumbe? unanijuwa mimi wewe?
Mloge Dokta!!Acha maneno yako machafu kama mlevi wewe.Ukitaka kutoa dawa toa dawa msaidie usilete maneno machafu nimesha wahi kukutapeli wewe mpumbe pumbe? unanijuwa mimi wewe?
Simrogi Laana ya Mungu itamshukia popote pale alipo atalaanika kwa kunichafulia jina langu Mungu amlani @Mloge Dokta!!
Ulinipaga dawa feki sitasahauSimrogi Laana ya Mungu itamshukia popote pale alipo atalaanika kwa kunichafulia jina langu Mungu amlani @
Black belts kwa kunichafulia jina langu amin.
Mkuu ulitumia majani gani ?Kuna majani me nilitumiaga yalinisaidiaga, achana na mataperi wa humu wanaojiita mzizi mbichi sijui mkavu
Pole sana.Ulinipaga dawa feki sitasahau
Hayana ilikuwa ishu nyingine hivi, dawa zenyewe hazikufanya kaziPole sana.
Ilikuwa ni ya kutibu Vidonda vya tumbo?
Aisee,gharama zake Sasa mi vidonda vya tumbo sijui alinambia Kati ya laki6 na laki8Hayana ilikuwa ishu nyingine hivi, dawa zenyewe hazikufanya kazi
Dawa yake ni ipi?Mfanyie majaribio kwa dawa zako akipona ndo akulipe au vipi jomba!
Mdau kasema ametapeliwa sana.
Afu vitu vingine watu wanajitakia sana.
Vidonda vya tumbo wengi hujitakia afu dawa yake hata elfu mbili haifiki.
Aisee,gharama zake Sasa mi vidonda vya tumbo sijui alinambia Kati ya laki6 na laki8