Habari wana jamii naomba msaada kwa aliyesikiliza bajeti je? Roadlicence za magari zimefutwa? Samahani nipo nje ya nchi sikuweza kufuatilia msaada plz kwa anayefaham