Kwa aliye tayari kuniajiri

Kwa aliye tayari kuniajiri

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
168
Jamani Tz kaz ngumu,uwe na div 0-Phd,bado naona ajira ni nongwa.

Mimi elimu yangu ni ndogo lakini hyo haikuzuii wewe msoma uzi huu kunipa ajira kama ntakidhi matakwa yako. Maana naish na watu mtaan wengne education level nimewazd,wengne tuko sawa lakn wana vjikaz safi.

Mimi ntaendesha bajaj mpaka lini? Bajaj yenyewe deiwaka. Inshort kama kuna mtafuta mfanyakaz mimi nipo. Iwe serikalin,kampuni,ngo,mtu binafsi,mashirika ya umma,whatever,naombeni ajira.

Elimu yangu ni Form 4. Nina miaka 24. Nipo dsm mbezi ya kimara. Ukiridhika na thread hii na una uhitaji please,nijali.
 
usifanye kazi hivy utakuwa mtumwa na hutapata mafanikio wavumbuzi wa kila unachokiona kinapendwa sana hawakusoma kiasi hicho hivyo kuna kipaji chako mwenyewe ambacho unaweza kukitumia kama kazi yako. haya tiririka wewe upande gani unaweza kufit na ukawa comfortable
 
Back
Top Bottom