Kwa experience yangu, ni kwel kuna changamoto kwa wanafunzi waliomaliza foundation kupata chuo nje Ya Open University, ni kutokana na competition ya chuo husika na pia na kozi unayotaka kwenda kusomea (ingawa hata mwenye ufaulu mzuri form 6 au diploma pia anakutana nazo hizi changamoto za competition akitaka kwenda bachelor ) ingawa kuna baadhi wamepata kuchaguliwa kweny vyuo kadhaa kwa ngazi ya degree!
Kwa maonj yangu Ni bora kufanya Foundation kuliko kuli'seat, kwan ukisoma vyema kufaulu nin rahis na kujiongeza nafasi ya kwenda degree pia, ukitaka kuendelea hapo hapo Open University wanakupokea kwa haraka sana hauwez kukosa nafasi kutokana na kozi uliyoichagua!