Kwa alichofanya Bukoba hakika Mrisho Mpoto anapenda kiki

Aman iwe juu

Leo ndo nimeona mtu anajiliza nilikuwaga tu nasikia kuna watu huwa wanajiliza msiban

Yaan mtu analia jiko kavu kamaa dagaa Wa kigoma

Jamaa anajifanya kuongea kwa huzuni huku uson kakunja ndita, aise haya maajabu ya karne

Alafu cha ajabu jamaa anajiliza maboya nao wanalia kweli


Achen kutafuta kiki kwenye misiba ya watu


NEY YORK BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpoto hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo unaeteseka aimbe mwingine utenzi tulie sie uumie wewe hujionei aibu

Mi sijibu mtu kutokana na ID yake najibu post ya mtu kuipinga ama kuiunga mkono, ukilazimisha sana nakupa kali napewa ban maisha yanaenda

Kuhusu kukujua kwa ID nyingine hayo ni mengineyo hayahusiani na huu uhorojo ulioleta hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom