Kwa ajuaye...

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
59
Jinsi mambo yanavokuwaga mwanzo mpaka mwisho wa mitihani ya chuo kuna kila sababu ya kushukuru kujaaliwa kuianza mpaka kuimaliza salama huku matumaini ya kutonaswa yakiwepo.
 
Wewe subiri next month tokeo litoke then utaona nini ni nini unacheza na UE!
 
Jinsi mambo yanavokuwaga mwanzo mpaka mwisho wa mitihani ya chuo kuna kila sababu ya kushukuru kujaaliwa kuianza mpaka kuimaliza salama huku matumaini ya kutonaswa yakiwepo.
msalimie The Son naye kamaliza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…