Leo nimesoma kwenye gazeti la Kenya wanavyolaumu kwa Maafisa wake kuzuiwa kuingia kwenye Bandari ya Tanga.
Mimi binafsi nampongeza sana Mhe. Shigella Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwa kuwakatalia kuingia kwenye Bandari ya Tanga. Kwanza wanakuja kama nani?. Pili waliitarifu Serikali ya Tanzania?
Wanasema eti walikubaliana wote na ujumbe wa Uganda kuwa wakitoka Tanga wote watoe mrejesho kwa Mhe. Uhuru. Hapa naona kuwa ujumbe huu wa Kenya ulikuja kutuchimba na kwenda kutoa mrejesho hasi. Mhe. Shigella wewe uliwaonea huruma. Hawa wangewekwa mahabusu kwa muda wa siku tatu na kuwe funzo kwao.