AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
natumia cm ya android, na nimeinstall mobogenie kwa ajili ya kupata apps, kinachoniudhi kuhusu hii kitu ina automatic shorticut creation muda wote ukiifungua... hata kama shorticut ipo yenyew itaongeza nyngne, inaniboa sana kiasi huwa hata naitoa, sema naikubali sbb ina uwezo wa ku resume download tofaut na playstore
Nataka kuitoa hii kitu, icwepo, nifanyaje? wenzangu mnaotumia mobogenie mmewah pata hyo shida au ni mimi pekee?
Nataka kuitoa hii kitu, icwepo, nifanyaje? wenzangu mnaotumia mobogenie mmewah pata hyo shida au ni mimi pekee?