Kuzimu bado kulikuwa hakumhitaji

Kwa mshono huo awashukuru madaktari na Mungu wake pia
 
Hizo si stich za wabeba inga au? Maana utafikiri ni gunia limeshonwa na sindano yake. Kazi ipo.
 
Kuna ndugu yangu mmoja na yeye ana mshono mbaya kama huo
 
Huyo ni punda na hilo tumbo ndio begi lake...kwa hiyo hapo amefunga zipu ya begi lake.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…