Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,303
- 50,470
Ni siku ya nne leo taa za kumulika barabarani haziwaki,
Tatizo ni la taa za kumulikia tu ila taa za kuongozea zinawaka.
Tafadhali mamlaka husika iwe Tanroad ama Manispaa tusaidieni,
kwa kuwa hili tatizo linatupa tabu watembea kwa miguu.
Tatizo hili lipo kuanzia mataa ya ubungo kuelekea kimara mwisho.
Ahsanteni.