Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Hata kwa zile safe days?kuwa mkweli bathiii..Hizo zinatokeaga tu. Tena kuna wanaume sijui tunalaaana ukishagusaa tu tumbo hilooo.
Hata kwa zile safe days?kuwa mkweli bathiii..Hizo zinatokeaga tu. Tena kuna wanaume sijui tunalaaana ukishagusaa tu tumbo hilooo.
Haha..huwa nahisi siku mungu anasema enendeni mkaijaze dunia kuna watu tulikuwa VIP..foleni ya mbele kabisaHata kwa zile safe days?kuwa mkweli bathiii..
Umri wangu unahusiana vipi na mada?How old are you?
Hahaha..Haha..huwa nahisi siku mungu anasema enendeni mkaijaze dunia kuna watu tulikuwa VIP..foleni ya mbele kabisa
Fafanua kidogo.3.Wengine inatokea tu bahati mbaya hajadhamiria anajikuta mjamzito.