Kuzaa kabla ya ndoa, nini sababu?

Kuzaa kabla ya ndoa, nini sababu?

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k.

Nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri.
Mungu awabariki
 
Si ni mapenzi tu yanakolea mpaka mtu anabeba ujauzito,na ndivyo uumbaji ulivyo kwamba twende tukazaane kama mchanga wa baharini,we unadhani kuna la ziada?
 
1.Mapenzi kukolea upande mpaka mwanamke anajisahau anajikuta kabeba mimba wakati aliyembebea hana mpango nayo
2.Wengine wanabeba mimba ili waolewe mana anaamini akishabeba lazima aolewe.
3.Wengine inatokea tu bahati mbaya hajadhamiria anajikuta mjamzito.
4.Wengine akiona upo vizuri kipesa hata kama anajua hutamuoa anakuzalia mana anajua mwanae atakuwa na maisha bora na yeye atafaidi kupitia mgongo wa mwanae.
5.Kuna ambao hawabelieve katika ndoa wanapenda maisha ya usingle hivyo anajizalia mwanae analea maisha yanaenda.
6.Kuna ambao umri ukienda anaona mh!hakuna wa kumuoa hivo afadhali awe na mtoto kabla jua halijazama akipata wa kumuoa sawa asipopata bas.
 
Umemaliza majibu yote feitty,lakini mimi naona familia ambazo wamelelewa katika mazingira ya kuheshimu na kumuogopa Mungu,afadhari kidogo sio wahanga wa tatizo hili.
 
Ni kweli ila kuna vitu vinavyopelekea mtu kujikuta anazaa kama bahati mbaya au umri unamtupa mkono au mwanaume kuikataa mimba na kumkataa kumuoa
 
Ukimkojolea mwanamke tu ndo chanzo kikuu cha kupata mimba na kuzaa.
 
nimejaribu kufanya kautafiti flani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k. nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri. mungu awabariki
Kuna factor nyingi mkuu,wengine wanahisi ndio tkt yakumthibiti mwanamme,wengine wanadanganywa kua nataka unizalie bila ya kufikiri mara2 ana jisenua hajui mwenzie anataka apewe asepe,wengine ngono zembe,wengine mri unakwenda wanahitaji japo kuitwa Mama,wengine desparate nizae na flani iliniweze kua nae hata kama ana mkewe poa tuu..
 
Hizo zinatokeaga tu. Tena kuna wanaume sijui tunalaaana ukishagusaa tu tumbo hilooo.
 
1.Mapenzi kukolea upande mpaka mwanamke anajisahau anajikuta kabeba mimba wakati aliyembebea hana mpango nayo
2.Wengine wanabeba mimba ili waolewe mana anaamini akishabeba lazima aolewe.
3.Wengine inatokea tu bahati mbaya hajadhamiria anajikuta mjamzito.
4.Wengine akiona upo vizuri kipesa hata kama anajua hutamuoa anakuzalia mana anajua mwanae atakuwa na maisha bora na yeye atafaidi kupitia mgongo wa mwanae.
5.Kuna ambao hawabelieve katika ndoa wanapenda maisha ya usingle hivyo anajizalia mwanae analea maisha yanaenda.
6.Kuna ambao umri ukienda anaona mh!hakuna wa kumuoa hivo afadhali awe na mtoto kabla jua halijazama akipata wa kumuoa sawa asipopata bas.
Nimeyapenda majibu yako.Yamegusa kwenye tatizo hasa
 
Kama umefanya utafiti ina maana tayari una majibu.
Sioni logic ya kuja kuuliza tena hapa
 
Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k.

Nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri.
Mungu awabariki
Wewe endelea kushangaa tu ila baadae utaelewa tu, hakuna namna.
 
Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k.

Nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri.
Mungu awabariki
Chanzo ni wanaume wanshindwa kutuliza vikojoleo vyao
 
- Tamaa za ngono..
- kuiga maisha yatu
- kutokuwa na uvumiliv
 
Back
Top Bottom