Kuweni makini na wake zenu

Ukute unayechat nae ni mmewe kaamua kutumia picha ya mkewe kama ulivyofanya naye yuko kwenye group hilo moja, usishangae huko nae anaomba ushauri jinsi ya kubadili gear kufanya ujue ni mwanaume maana anajua utaenda kwake.
 
Kaisasambue iyo mbuchuchu kimasihara...tumia gia namba 2 unastulia kwenye iyo gia kwanza
 
Kwahaya uliyoandika wewe siyo mwanaume,huna sifa hiyo kabisa
 
Sijafurahishwa na matumizi ya picha ya mke wako, Kwanza wewe uko na mke maana Ni mtu mzima hivyo hizo Mambo si vyema kuzitilia mkazo.
Haya mambo ya mapenzi na mahausiano yana mapana na marefu yake hivyo usiingie kichwa kichwa ndugu.
 
Pumbafff unatumiaje picha ya mkeo? Shwain wewe.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Jamani, hivi Ukimwi bado upo?, kama bado upo utaisha kweli?.
 
Umemkosea sana mke wako kutumia picha zake. Huna hashima kwa mke wako na inawezekana humpendi.
 
Ningekuwa mkeo tungeachan na kesi juu jinsi uniheshim mpk pich unatuma kha
 
Ulifanya kosa kubwa sana kuweka picha za mke wako.
Kwanza mada ya huu uzi ilitakiwa iwe "kuweni makini na waume zenu". Yaani yeye kajitoa ufahamu Kama vile hana kosa lolote. Jamaa ni boya sana
 
Umemkosea sana mke wako kutumia picha zake. Huna hashima kwa mke wako na inawezekana humpendi.
Sio suala la mapenzi ni suala la kiwango cha uzezeta. Mama watoto kabisaa? Anayenyonyesha wanao ndo umtumie hivyo?🤣🤣🤣. Huyu zezeta na hapo hajahakiki kama msagaji mwenzake ni fake kama yeye au la.
 
Wanawake tuna huruma sana, kwahiyo nawe ni mume wa mtu!!

Kuna mahali pakubwa sana tunakosea kwenye malezi ya hawa watoto wetu wa kiume haki tena!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio mkuu ni kweli uliwahi guswa Nyuma kama ulivodokeza Hapo juu?
 
Sio suala la mapenzi ni suala la kiwango cha uzezeta. Mama watoto kabisaa? Anayenyonyesha wanao ndo umtumie hivyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huyu zezeta na hapo hajahakiki kama msagaji mwenzake ni fake kama yeye au la.
Nimesikitika kwa kweli
 
Katuwakilishe vyema mkuu. Ila usisahau kilainishi mana chochote kinaweza tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…