networker
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 570
- 217
habari zenu wadau najua mnapita huku sana kwa namna moja ama nyingine.
Nyie ndio mano linda nchi yetu na kubeba siri nzito za nchi hii ila kuna swala mmoja la mawasiliano ambalo sidhani kama ni jambo zuri kiusalama wa nchi yetu.
simu za smartphone ambazo hupendwa na wengi kwa sasa na nyingi nazo zilenga hapa ni hizi za bei nafuu kidogo ambazo hata mtu wa kipato cha kawaida anaweza ku nunua.....
simu hizi zina automatic call recorder nikimanisha zina recordi simu unazo pokea na kupiga bila wewe kujua na kuhifadhi nadni ya folder ndania ya simu yako ambalo ni rahisi kulifikia au ku acces folder hili kwa njia ya kawaida kama unavyo soma msg zako na kusikiliza. sasa concern yangu ipo hapa nimeona watu wangi haswa tajwa hapo juu wakimiliki simu hizi zinazo recordi kila simu uanyo piga au kipigiwa kitu ambacho ni rahisi sana kwa hackers/ujasusi wa kieletroniki kuweza kuingilia simu yako na kusikiliza simu zako zote kiurahisi.........
Utajuaje simu inajirekodi
Utajuaje simu anayo pigiwa au kupiga ina jirekodi... ukipigiwa simu na mtu na pindi unapo pokea uka sikia mlio kama wa vibration (dzdzzzz) mwanzoni kabisa jua hiyo simu ina rekodiwa na kuhifdhiwa katika moja wapo ya folder za simu yako bila hata ya wewe kujua ingawa wako wengine wanoa kagua simu zao sana wanaweza kuwa wamekutana na hili folder na kushangaa sana.... mara nyingi hili nimelikuta kwenye smartphone za bei rahisi ambazo kila mtu huweza kumiliki....
nime fuatilia kwenye smartphone za gharama sijaona hiki kitu.... mfano wasimu nilizo kuta hii kitu ni Tecno,Huwawei, samsung ace na za mfanano wake...
hivyo basi na weza nikawa nimekosea ila kwa kuwaza kwangu nimeona niwape hii taarifa ndogo ili mchukue tadhari mnapo tumia simu zenu au kununua simu kwa ajili ya kufikisha taarifa muhimu za nchii... mnisame kuelezea kwangu kubovu