Wadau,
Kuna haya maduka ya kubadilusha fedha za kigeni yaitwayo Sanya, nimegundua baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu. Nawashauri muwe makini kuhesabu fedha zenu kabla hujabadilisha na baada ya kubadilusha. Yamenitokea Arusha, nimepoetza $20.
Dola 20 nadhani ni pesa ndogo kukuibia, huenda umejichanganya kwenye kuhesabu pesa mwenyewe.
Nimewahi kubadili pesa mara nyingi hapo bila matatizo yoyote