Kuweni makini na nyama za sikukuu

Kuweni makini na nyama za sikukuu

tofyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
2,759
Reaction score
768
Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua.
 

Attachments

  • 7f897f70a7f9f668595d234272cda580.jpg
    7f897f70a7f9f668595d234272cda580.jpg
    38.6 KB · Views: 76
Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua.
Mbona hujaweka hiyo picha?

Naona maneno 'Hewa' bila attachment yoyote.
 
Anaamaanisha kuwa makini usijelishwa mdudu nyau au wale adimu wanaofuza wezi usiku kwa kubweka.
 
Samahani wakuu nilisahau ku- attach.
 
Back
Top Bottom